ProZ.com translation contests »
32nd Translation Contest: "Movie night" » English to Swahili » Entry #36583


Source text in English

Translation #36583

To say that I was compelled by Parasite from start to finish is an understatement; its filming style with tracking shots are enthralling. Having watched several Korean films during the London Korean Film Festival, I was familiar with the usual genres employed in such films but Parasite seemed to defy them all! Parasite is comedic, in a quirky way, it is also a thriller, straddles class divisions and also depicts a family tale amongst other genres and is therefore likely to appeal to all ages.

Parasite truly deserves to be watched in a cinema to appreciate its nuances and the stylish cinematography. As a summary, to avoid spoilers, Parasite tells the tale of the interaction between the Park family and the Kim’s, an unemployed family, whose contrasting worlds collide with long lasting consequences.

[...]Bong Joon-Ho manages to pique the audience’s interest with brightly lit shots coupled with the effective use of indoor space, and it is surprising to realise, after the film’s 2 hour 12 minute length, that most of the scenes occur within the Park family’s home. The mundane elements of domesticity are displayed with an intriguing perspective showcasing Bong Joon-Ho’s flair. It is a slow burner but you will revel in its beauty and ingenuity as Parasite convinces that it operates solely on one level but it is in fact multi-layered and depicts social realism with empathy and pathos.

The cast are beguiling to watch, every facial movement and action is accentuated, even the mere act of walking up or down stairs can convey hidden meaning, which the camera fragments. Levels of unease are also created by virtue of that effective use of space with unusual camera angles and dramatic weather conditions ratcheting up that sensation. There is a surreal nature to Parasite, which its score emphasises, and furthermore the film adopts elements of the absurd devised in such an ingenious way which is truly cinematic magic. Parasite’s apparent eeriness will certainly keep you riveted and would not feel alien to the Twilight Zone school of filmmaking.

The actors are very impressive and add breadth to their roles creating relatability whilst seeming effortlessly cool. When Ki-Woo and Ki-Jeong Kim were working within the Park family home as private tutors they certainly epitomised this level of nonchalant, understated authority creating an aura of mysticism with the unspoken, almost mythical, tutoring techniques employed. Quite simply, the actors Park So-Dam and Choi Woo-Sik, as Ki-Woo and Ki-Jeong, are compelling to watch in the different directions that Parasite follows and they carry these performances seamlessly thereby inviting the audience to be on their side.

[...]Parasite is a remarkable piece of extremely skilful filmmaking, it is simply a must see film, and so I am looking forward to re-watching the film on its UK general release date.
Kusema kwamba nilitekwa na Parasite kutoka mwanzo hadi mwisho ni kama kupuuzia; mtindo wake wa kurekodi na ufuatiliaji wa klipu ni wa kuvutia. Baada ya kutazama filamu kadhaa za Kikorea wakati wa Tamasha ya Filamu za Kikorea ya London, nilikuwa na ufahamu kuhusu aina za kawaida za utengenezaji filamu zilizotumika katika filamu kama hizo lakini Parasite ilionekana kuzipita zote! Parasite ni cheshi, kwa njia ya kipekee, pia ni ya kusisimua, kuunganisha makundi mbali mbali ya watazamaji na pia inaonyesha hadithi ya familia kati ya aina zingine za filamu na kwa hivyo inaweza kuwa ya kuvutia kwa umri wote.

Parasite kweli inastahili kutazamwa katika sinema ili kufahamu utofauti wake na sinematografi maridadi. Kwa muhtasari, ili kuepuka utunduzi, Parasite inasimulia hadithi ya mwingiliano kati ya familia ya Park na ya Kim, isiyo na ajira, ambazo dunia zao tofauti zinagongana na kusababisha matokeo ya kudumu.

[...]Bong Joon-Ho anafanikiwa kuvuta shauku ya hadhira na picha zenye mwangaza mkali pamoja na matumizi bora ya nafasi ya ndani, na inashangaza kutambua, baada ya urefu wa masaa 2 na dakika 12 ya filamu, kwamba matukio mengi yanatokea ndani ya nyumba ya familia ya Park. Vipengele vya kawaida vya unyumba vinaonyeshwa kwa mtazamo wa kuvutia unaoonyesha ustadi wa Bong Joon-Ho. Inaonekana kwenda polepole lakini utafurahia uzuri na ustadi wake kwani Parasite inasadikisha kuwa mfumo wake wa uendeshaji ni mmoja tu lakini kwa kweli ina safu nyingi na inaonyesha uhalisia wa kijamii kwa huruma na motisha.

Waigizaji wanakuteka na kukufanya kutazama, kila mwendo na ishara za uso zimeimarishwa, hata kitendo cha kupanda au kushuka ngazi tu kinaweza kutoa maana fiche, inayodhihirishwa na kamera. Viwango vya wasiwasi pia huundwa kwa mujibu wa utumiaji mzuri wa nafasi na pembe za kamera zisizo za kawaida na hali ya hewa ya kusisimua inayosisitiza hisia hiyo. Kuna asili iliyo kama ndoto kuhusu Parasite, ambayo kiwango chake kinasisitiza, na zaidi ya hayo filamu inachukua vipengele vya ajabu vilivyoundwa kwa njia ya kiubunifu ambayo kwa kweli maajabu ya sinema. Hakika, kutisha kwa Parasite kunakodhihirishwa wazi kutakuteka na kukufanya usijihisi mgeni katika shule ya utengenezaji wa filamu ya Twilight Zone.

Waigizaji wanavutia mno na kuongeza upana katika kutekeleza majukumu yao huku wakionekana kuwa wa kufurahisha. Wakati Ki-Woo na Ki-Jeong Kim walipokuwa wakifanya kazi ndani ya nyumba ya familia ya Park kama wakufunzi wa kibinafsi, bila shaka walionyesha kiwango fulani cha mamlaka iliyo shwari, na kujenga muonekano wa kimafumbo na mbinu za kufundisha zisizonenwa, zilitumika. Kwa ufupi, waigizaji Park So-Dam na Choi Woo-Sik, kama Ki-Woo na Ki-Jeong, wanakulazimu kutazama katika mwelekeo tofauti ambao Parasite hufuata na kuendekeza maonyesho haya bila shida na hivyo kualika hadhira kuwa upande wao.

[...]Parasite ni sehemu utengenezaji wa filamu ya ajabu yenye ustadi mno, ni filamu muhimu kuona, na kwa hivyo ninatazamia kuitazama tena filamu hiyo tarehe yake ya kutolewa nchini Uingereza.


Discuss this entry